
Kanga inavalika katika njia tofauti, kama nguo, juu ya kichwa, kuwabeba watoto, na kadhalika. Watu wanavaa kanga kusherekea uzazi, arusi, au kuomboleza. Watu wengi watapa kanga kwa zawadi. Mara nyingine kanga zanaanunuliwa kama wawili.

MethaliKanga zinatumiwa kwa mawasiliano pia. Kanga kila ina methali au ujumbe na inasema vitu vingine bila usemi. Mifano ya methali ni...

"Liya na tabia yako usilaumu wenzako""Naogopa simba na meno yake, siogopi mtu kwa maneno yake"
"Amani na upendo ni ngao yangu"
"Habari ndiyo hiyo""Nakutakia kila la kheri"
"Mke ni tunda ni majibu kumtunza"
"Tusisahau kwetu"


Sehemu za Kanga
- Pindo ni mpaka wenye upande nne kila ya kenga
- Mji ni mstatili wa kati na ulionyesha picha za wanyama, mimea, watu, au umbo mbalimbali
- Jina ni usemi katika kanga na mara nyingi ni methali

Kufanga Kanga
Unafungua kanga
Unachomekea upande moja chini ya mkono
Unavuta upande nygine juu ya upande moja na unachomekea chini ya mkono wengine

Habari Zaidi
http://www.kangausa.com/index.htm
http://www.watatu.se/index.php
http://media.humnet.ucla.edu/quarters/06s/african103c_lec1_06s/eleanor/Site/Utangulizi.html

























