CHAKULA CHA AFRIKA YA MASHARIKI
Wikiendi hii, niliamua kujifunza zaidi kuhusu vyakula vya Afrika. Wanawake wanapika chakula kwa kawaida, ni kufanana katika tamaduni zingine duniani. Lakini katika sehemu mbalimbali watu wa Afrika ya Mashariki wanakula vyakula tofauti.
Karibu pwani ya Kenya, watu wengi wanakula samaki, matunda, maziwa ya nazi, na viungo. Chakula cha pwani kinaathiriwa na Waarabu. Mchuzi na chapati ni mfano mzuri wa athari ya Waarabu.
chapati
Katika sehemu ya Kenya nyingine, watu hupika na vyakula huota au karibu na nyumba. Kwa mfano, maharagwe, wali, nafaka, viazi, na kadhalika. Lakini, kama jamaa wana wanyama, hawatakufa wao kwa sababu jamaa watapata zaidi kama wanyama wanaishi. Samosas, Irio, na Ugali ni milo ya afrika ya mashariki ya desturi.
Juzijuzi niliamua kupika mlo wa desturi kutoka pwani ya Kenya. Mgeni wa maalumu sana ameniunga kwa chakula cha jioni. Jina la mgeni ni Marlene Anderson na tutasoma Kiswahili pamoja. Nimepika mchuzi wa uduvi (au kamba wadogo). Kupika mlo huu, nilihitaji...
mafuta, samaki au uduvi, chumvi, pilipili manga, kitunguu, pilipili hoho, kitunguu sumu, nyanya, maziwa ya nazi, bizari, na maji ya limau.
Kuanza, nilipika kitunguu na pilipili hoho kwanza, baadaye nimeongeza kitunguu sumu na nimepika kwa dakika moja au mbili zaidi. Baada ya kitunguu sumu, niliongeza nyanya, maziwa ya nazi, bizari, maji ya limau, chumvi, na pilipili manga. Nilivyachemka vyakula kila na joto (hari) imepunguzwa na nimepika kwa dakika nane.

Pili, nimeongeza uduvi na nimepika kwa dakika kumi zaidi au hata uduvi inageuka katika rangi ya waridi. Nimeongeza wali baada ya mchuzi ulikuwa tayari. Mlo huu ni mzuri sana na kupika rahisi. Marlene na mimi tulimaliza na tumenywa chai na tumezungumza kuhsu usafiri nchini ya Kenya, mpango wa Imani, na Kitengela.
Wikiendi hii, niliamua kujifunza zaidi kuhusu vyakula vya Afrika. Wanawake wanapika chakula kwa kawaida, ni kufanana katika tamaduni zingine duniani. Lakini katika sehemu mbalimbali watu wa Afrika ya Mashariki wanakula vyakula tofauti.
Karibu pwani ya Kenya, watu wengi wanakula samaki, matunda, maziwa ya nazi, na viungo. Chakula cha pwani kinaathiriwa na Waarabu. Mchuzi na chapati ni mfano mzuri wa athari ya Waarabu.
chapatiKatika sehemu ya Kenya nyingine, watu hupika na vyakula huota au karibu na nyumba. Kwa mfano, maharagwe, wali, nafaka, viazi, na kadhalika. Lakini, kama jamaa wana wanyama, hawatakufa wao kwa sababu jamaa watapata zaidi kama wanyama wanaishi. Samosas, Irio, na Ugali ni milo ya afrika ya mashariki ya desturi.
Juzijuzi niliamua kupika mlo wa desturi kutoka pwani ya Kenya. Mgeni wa maalumu sana ameniunga kwa chakula cha jioni. Jina la mgeni ni Marlene Anderson na tutasoma Kiswahili pamoja. Nimepika mchuzi wa uduvi (au kamba wadogo). Kupika mlo huu, nilihitaji...
mafuta, samaki au uduvi, chumvi, pilipili manga, kitunguu, pilipili hoho, kitunguu sumu, nyanya, maziwa ya nazi, bizari, na maji ya limau.Kuanza, nilipika kitunguu na pilipili hoho kwanza, baadaye nimeongeza kitunguu sumu na nimepika kwa dakika moja au mbili zaidi. Baada ya kitunguu sumu, niliongeza nyanya, maziwa ya nazi, bizari, maji ya limau, chumvi, na pilipili manga. Nilivyachemka vyakula kila na joto (hari) imepunguzwa na nimepika kwa dakika nane.

Pili, nimeongeza uduvi na nimepika kwa dakika kumi zaidi au hata uduvi inageuka katika rangi ya waridi. Nimeongeza wali baada ya mchuzi ulikuwa tayari. Mlo huu ni mzuri sana na kupika rahisi. Marlene na mimi tulimaliza na tumenywa chai na tumezungumza kuhsu usafiri nchini ya Kenya, mpango wa Imani, na Kitengela.
http://www.africaguide.com/cooking.htm
http://www.mwambao.com/
http://www.africanfoods.co.uk/east-african-foods.html
http://www.mwambao.com/
http://www.africanfoods.co.uk/east-african-foods.html

No comments:
Post a Comment